Jambo hilo limegusa hisia za watu wengi mmoja akiwa ni Naibu Waziri wa Afya Dr. Hamisi Kigwangalla ambaye aliitumia account yake ya Twitter kuandika haya:
“Alichokifanya leo Rais Magufuli kwenye sekta ya madini ni jambo la kizalendo na kwa hakika litaleta mabadiliko, nilisema hivi tangu 2011.” – Kingwangala
SHARE








No comments:
Post a Comment