Mbunge Mstaafu wa Moshi Mjini na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa
kilimanjaro, Mhe.Philemon Ndesamburo amefariki dunia mapema hii leo.
Katibu wa Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa amethibitisha kutokea kwa
kifo hicho. Ndesamburo ametumikia chama hicho kwa muda mrefu na kutoa mchango wake.
Taarifa zaidi mtaendelea kuzipata
|
No comments:
Post a Comment