Mama na
binti yake wamehitimu Chuo Kikuu kimoja na siku moja ambapo kutokana na
kufanana kwao wengi walishindwa kuwatofautisha huku wakijua ni mtu na
dada yake licha ya kuwepo kwa tofauti ya miaka 35 baina yao.Suzanne
Isaac mwenye umri wa miaka 57 ambaye ni mama wa watoto wawili anaonekana
kufanana sana hadi maumbile na binti yake Melissa Isaac mwenye umri wa
miaka 22, alianza kusoma masomo yake kama mwanachuo wa ‘Part Time’
katika Chuo Kikuu cha Swansea wakati binti yake akiwa na miaka 16 na
hakutegemea kama wangeweza kuhitimu siku moja.
>>>”Watu
wengi wanasema mimi ni dada yake Melissa kwangu ni suala zuri maana
naonekana mdogo kuliko umri wangu, na ninafurahi kwa sababu tuna asili
ya kuwa na miili ya kutozeeka mapema.” – Suzanne Isaac.
U
SHARE
No comments:
Post a Comment