TRA

TRA

Saturday, May 6, 2017

MAALIM SEIFAKUTANA NA LOWASSA JIJINI DAR ES SALAAM

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



Katibu Mkuu wa CUF,  na Makamu wa Kwanza wa Rais wa  zamani wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad leo Mei 6, 2017, amemtembelea Waziri Mkuu wa zamani, na mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mhe. Edward Lowassa akiwa ofisini kwake, (oval), Mikocheni jijini Dar es Salaam ambako wamejadiliana masuala mbali ya siasa na zaidi mgogoro ndani ya CUF. Kwa mujibu wa taaifa za msaidizi wa Mhe. Lowassa, mazungumzo hayo yalijikitazaidi katika kuimarisha umoja na mshikamano miongoni mwa vyama vya upinzani, vinavyounda vuguvugu la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Maalim Seifyuko jijini Dar es Salaam kwa ziara ambayo sio rasmi lakini ina lengo la kuwatembelea wanachama wa CUF, pamoja na viongozi mbalimbali wa kisiasa.



Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger