Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza
la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano wa
Baraza la kumi la Biashara Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya
Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2017. Wengine ni Waziri
Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (kushoto), Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John
Kijazi (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF),
Dkt. Reginald Mengi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza
la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano wa
Baraza la kumi la Biashara Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya
Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2017.
Baadhi
ya Mawaziri, pamoja na Wajumbe, wakimsikililiza Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la
Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiongea katika Mkutano wa
Baraza la kumi la Biashara Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya
Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Mei 6, 2017. (PICHA NA IKULU)
SHARE
No comments:
Post a Comment