Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama picha za nyumba wakati alipotembelea Maonyesho ya Mpango wa
ujenzi wa Nyumba za Gharama Nafuu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Mei 30, 2017. Maonyesho hayo yameandaliwa na Muungano wa Vikundi Vya
Vicoba Tanzania (VIGUTA) .Kushoto ni Mwenyekiti wa Taifa wa VIGUTA,
Dkt. Salmin Ibrahim Dauda.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
SHARE
No comments:
Post a Comment