Waziri wa Viwanda Biashara na
Uwekezaji Mhe. Charels Mwijage akiongozana na Waziri wa Maliasili na
Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma
kuhudhulia kipindi cha Asubuhi cha kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba
Bunge la 11 Mei 26,2017.
Mbunge wa Mtwara Vijini (CCM) Mhe.
Hawa Ghasia wakijadiliana jambo na Mbunge wa Momba (CHADEMA) Mhe. David
Silinde katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma wakati wakiingia katika
ukumbi wa Bunge kuhudhulia kipindi cha Asubuhi cha kikao cha 35 Mkutano
wa Saba Bunge la 11 Mei 26, 2017.
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Najma Giga akiongoza kikao cha 35 cha Mkutano
wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 26, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge kazi Ajira Vijana na watu wenye Ulemavu
Mhe. Jenista Mhagama katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la
11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais
TAMISEMI akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 35 cha
Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Mbunge wa Mpwapwa (CCM) George
Lubeleje akiuliza swali katika kikao cha 35 cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani akijadiliana jambo na Naibu waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba
katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Mei 26, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa
Nishati na Madini Mhe. Dkt Medred Kalemani katika kikao cha 35 cha
Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Waziri wa Viwanda Biashara na
Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Mei 26, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wakifurahia jambo na Mbunge wa
Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari katika kikao cha 35 cha Mkutano
wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Mbunge wa Kaliua (CUF) Mhe.
Magdalena Sakaya akiuliza swali katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Mhe. Mwigulu Nchemba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Waziri wa
Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage katika kikao cha 35
cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Naibu waziri wa Habari Utamaduni
Sanaa na Michezo Mhe. Anstazia Wambura(kulia) pamoja na Naibu Waziri wa
Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe(katikati) wakimsikiliza
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt Medred Kalemani wakati
wakijadiliana jambo katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la
11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA)
Mhe. Joseph Haule (Kulia) pamoja na Mbunge wa Mikumi Mhe. Joseph Haule
(wa pili kulia) na Mbunge wa Tunduma (CHADEMA) Mhe. Frank Mwakajoka
(aliyeipa kisogo kamera) wakimsikiliza Waziri wa Viwanda Biashara na
Uwekezaji Mhe. Charels Mwijage wakati wakijadiliana jambo katika kikao
cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Mbunge wa Bunda Mjini (CHADEMA)
Ester Bulaya akiuliza swali katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Mbunge
wa Viti Maalum (CCM) Ritha Kabati katika kikao cha 35 cha Mkutano wa
Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi
Compassion English Medium kutoka mkoani Njombe wakiwa Bungeni
wakifuatilia shughuli za Bunge katika dhumuni la kujifunza mambo
mbalimbali yahusuyo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Picha Zote na Raymond Mushumbusi Dodoma MAELEZO, DODOMA
SHARE
No comments:
Post a Comment