Monaco imemsajili
mchezaji bora kinda wa mwaka nchini Ubelgiji, Youri Tielemans kutoka
klabu ya Anderlecht kwa pauni milioni 21.63.
Youri aliisaidia Anderlecht kufikia hatua ya robo fainali michuano ya Europa
Alifunga magoli 13 kwenye michuano magoli 13 msimu uliopita na kuifanya Anderlecht kutwaa ubingwa.
Monaco ni klabu yenye malengo, inayotambulika kwenye michuano ya Ulaya na mara nyingi hutumia wachezaji chipukizi.
SHARE
No comments:
Post a Comment