Mmoja
wa wasimamizi wa Mdahalo huo, Dorothy Kipeja akizungumza na baadhi ya
wanafunzi wa Shule za Sekondari Zanaki na Msimbazi katika Mdahalo
uliozikutanisha shule hizo mbili,
ulioambatana na uzinduzi rasmi wa Mradi wa Kuwa Mfano, ulioratibiwa na
Taasisi ya Doris Mollel kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich
Naumann, uliofanyika katika Shule ya Sekondari ya Zanaki, Jijini Dar es
salaam mwishoni mwa wiki.
Afisa
Mipango wa Taasisi ya Friedrich Naumann, Veni Swai akizungumza na
baadhi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari Zanaki na Msimbazi katika
Mdahalo uliozikutanisha shule hizo mbili,
ulioambatana na uzinduzi rasmi wa Mradi wa Kuwa Mfano, ulioratibiwa na
Taasisi ya Doris Mollel kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich
Naumann, uliofanyika katika Shule ya Sekondari ya Zanaki, Jijini Dar es
salaam mwishoni mwa wiki.

Mkuu
wa Kitengo cha Elimu wa Taasisi ya Doris Mollel, Erick Kajahurwa
akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari Zanaki na
Msimbazi katika Mdahalo uliozikutanisha shule hizo mbili,
ulioambatana na uzinduzi rasmi wa Mradi wa Kuwa Mfano, ulioratibiwa na
Taasisi ya Doris Mollel kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich
Naumann, uliofanyika katika Shule ya Sekondari ya Zanaki, Jijini Dar es
salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya Wasimamizi wa Mdahalo huo wakifatilia.
Mmoja
wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Zanaki, akizungumza wakati
akichangia mada katika Mdahalo uliozikutanisha shule hizo mbili,
ulioambatana na uzinduzi rasmi wa Mradi wa Kuwa Mfano, ulioratibiwa na
Taasisi ya Doris Mollel kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich
Naumann, uliofanyika katika Shule ya Sekondari ya Zanaki, Jijini Dar es
salaam mwishoni mwa wiki.

Baadhi
ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Zanaki wakiwa katika Mdahalo
uliozikutanisha shule hizo mbili za Zanaki na Msimbazi, ulioambatana na
uzinduzi rasmi wa Mradi wa Kuwa Mfano, ulioratibiwa na Taasisi ya Doris
Mollel kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich Naumann, uliofanyika
katika Shule ya Sekondari ya Zanaki, Jijini Dar es salaam mwishoni mwa
wiki.
Picha
ya pamoja ya Wasimamizi wa Mdahalo uliozikutanisha shule mbili za
Sekondari za Zanaki na Msimbazi pamoja na Walimu wao baada ya uzinduzi
rasmi wa Mradi wa Kuwa
Mfano, ulioratibiwa na Taasisi ya Doris Mollel kwa kushirikiana na
Taasisi ya Friedrich Naumann, uliofanyika katika Shule ya Sekondari ya
Zanaki, Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Katika Mdahalo huo,
Shule ya Sekondari ya Zanaki ndiyo iliibuka na ushindi.
Baadhi
ya Wanafunzi wa Shule za Sekondari za Zanaki na Msimbazi, wakiwa katika
picha ya pamoja na Wasimamizi wa Mdahalo uliozikutanisha shule hizo
mbili pamoja na Walimu wao baada ya uzinduzi rasmi wa Mradi wa Kuwa
Mfano, ulioratibiwa na Taasisi ya Doris Mollel kwa kushirikiana na
Taasisi ya Friedrich Naumann, uliofanyika katika Shule ya Sekondari ya
Zanaki, Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Katika Mdahalo huo,
Shule ya Sekondari ya Zanaki ndiyo iliibuka na ushindi.

SHARE
No comments:
Post a Comment