Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Tixon Tuyangine Nzunda kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Balozi Rajab Omar Luhwavi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Ndugu Benard Mtandi Makali kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa, Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Ndugu Clifford Katondo Tandari kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Morogoro,
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Ndugu Geoffrey Idelphonce Mwambe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha
Uwekezaji Tanzania (TIC), Ikulu jijini Dar es Salaam.
Viongozi
waliopishwa wakila Kiapo cha Uadilifu –Ikulu jijini Dar es Salaam.
wakwanza kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI,
Tixon Tuyangine Nzunda, Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Rajab Omar
Luhwavi, Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Benard Mtandi Makali, Katibu
Tawala wa mkoa wa Morogoro Clifford Katondo Tandari pamoja na
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Geoffrey
Idelphonce Mwambe
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Rajab Omar Luhwavi mara baada ya
kupiga picha ya pamoja Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
SHARE
No comments:
Post a Comment