Mkuu
wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akizungumza na waandishi wa habari
kuhusiana na Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage
kuwa mgeni kwenye maonyesho ya kimataifa yatakayoanza kesho kwenye
viwanja vya Mwahako Jijini Tanga
Mkuu
wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akikagua mabanda mbalimbali kuelekea
uzinduzi wa maonyesho ya kimataifa yatakayofunguliwa kwenye na Waziri
Mwijage
Mkuu
wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akisalimiana na wanawake
wajasiriamali wakati akikagua mabanda mbalimbali kuelekea uzinduzi wa
maonyesho ya kimataifa yatakayofunguliwa kwenye na Waziri Mwijage
Mkuu
wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akisalimia na baadhi ya
wajasiriamali wakati apokuwa akikagua mabanda mbalimbali kuelekea
uzinduzi wa maonyesho ya kimataifa yatakayofunguliwa na Waziri Mwijage
Baadhi
ya watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF)
wakiendelea na matayarisho ya Banda lao ambalo lipo kwenye viwanja
Mwahako Jijini Tanga
Mjumbe
wa Kamati ya Maandalizi ya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa
yatakayoanza kesho kwenye viwanja vya Mwahako Salehe Masoud kushoto
akimuonyesha kitu Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa wakati
alipokwenda kukagua na kutembelea kuona maendeleo ya mabanda hii leo
Mkuu
wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa kulia akisisitiza jambo kwa mjumbe
wa kamati ya maandalizi ya maonyesho hayo,Salehe Masoud wakati
alipotembelea kukagua mabanda leo
Mjumbe
wa Kamati ya Maandalizi ya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa
yatakayoanza kesho kwenye viwanja vya Mwahako Salehe Masoud kushoto
akimuonyesha kitu Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa wakati
alipokwenda kukagua na kutembelea kuona maendeleo ya mabanda hii leo
habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
SHARE
No comments:
Post a Comment