Teddy
na Talkia Tumbi ambao ni mtu na dada yake wamefanya uzinduzi wa studio
ya nywele na kuuza shanga na vito (jewelry) iliyopo kwenye mji wa
Clemmons, North Carolina nchini Marekani. Studio hiyo ambayo
ilizinduliwa siku ya Jumamosi May 13, 2017 ilihudhuriwa na Watanzania
mbalimbali waliofika kuwaunga mkono.
Teddy
Tumbi akimwandalia mteja (hayupo pichani)shanga alizonunua kwenye
studio yao iliyofunguliwa siku ya Jumamosi May 13, 2017 Clemmons, North
Carolina nchini Marekani. Studio hii ya kutengeneza nywele na kuuza shanga na vito (Jewelry) na anuani kamili ni 2575 Old Glory Road, Clemmons, NC 27012 simu 336 343 8170.
Talkia
Tumbi mmoja ya wamiliki wa studio hiyo siku ya uzinduzi wake
uliofanyika siku ya Jumamosi May 13, 2017 Clemmons, North Carolina
nchini Marekani.
Mmoja ya wateja akitengeneza nywele zake.
Wapili
kushoto ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Watanzania North Carolina,
Bi. Glory Alex akipata matunda ya ufunguzi wa studio hiyo kwa
kutengeneza nywele zake alipokwenda kuwaunga mkono Teddy na Talkia Tumbi
mtu na dada yake walipofungua studio ya nywele na kuuza shanga na vito.
Mmoja ya wateja akitengeneza urembo wa nywele studioni hapo.
Ulimbwende wa kucha ukiendelea
wasusi
wakipata picha kwenye studio ya nywele na kuuza shanga na vito
iliyofunguliwa siku ya Jumamosi May 13, 2017 Clemmons, North Carolina
nchini Marekani.
Muonekano wa studio
Mwenyekiti
Glory Alex akiwa katika picha ya pamoja na Teddy Tumbi mmoja ya
wamiliki wa studio hiyo siku ya uzinduzi wake uliofanyika siku ya
Jumamosi May 13, 2017 Clemmons, North Carolina nchini Marekani.
Mwenyekiti
Glory Alex akiwa katika picha ya pamoja na Talkia Tumbi mmoja ya
wamiliki wa studio hiyo siku ya uzinduzi wake uliofanyika siku ya
Jumamosi May 13, 2017 Clemmons, North Carolina nchini Marekani.
SHARE
No comments:
Post a Comment