Mshambualiaji wa Chelsea Bertrand Traore amejiunga na Lyon kwa kima cha pauni milion 8.8.
Traore alijiunga na Chelsea mwaka 2014 na kufunga mabao manne katika mechi 16
- Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 20.06.2017
- Ajax yaifumua Lyon katika Europa Ligi
- Christian Bassogog Mwanasoka bora
Aliifungia ajax mara 13 msimu uliopita na kucheza katika fainali ya Europa League ambapo walishindwa na Manchester United.
SHARE









No comments:
Post a Comment