• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Tuesday, June 27, 2017

Home > > Everton wamnunua mchezaji wa Nigeria

Everton wamnunua mchezaji wa Nigeria

at 11:01 PM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

 


 
Everton wanakaribia kumnunua mshambuliaji chipukizi wa Nigeria anayevuma sana Henry Onyekuru kutoka klabu ya KAS Eupen ya Ubelgiji.
Wanatarajwia kumnunua mchezaji huyo kwa £7m.
Onyekuru, 20, alifunga mabao 22 katika klabu hiyo inayocheza ligi kuu ya Ubelgiji msimu uliopita.

Alikuwa amehusishwa na kuhamia Arsenal, West Ham United na klabu nyingine kadha Ulaya zilikuwa pia zinamtaka.

Henry Onyekuru (kulia) alifunga mabao 22 katika klabu ya Eupen msimu uliopita

Hata hivyo, mchezaji huyo, inaarifiwa tayari alifanyiwa uchunguzi wa kimatibabu Everton siku ya Jumatatu.

Onyekuru anatarajiwa kutumwa Anderlecht kwa mkopo mwaka mmoja, aendelee kuimarika akicheza soka Ubelgiji.

Anachukuliwa na mkurugenzi wa soka wa Everton Steve Walsh pamoja na meneja Ronald Koeman kuwa mchezaji atakayewafaa sana siku za usoni.

Onyekuru alichezea timu ya taifa ya Nigeria mara yake ya kwanza katika mechi ya kirafiki dhidi ya Togo mapema mwezi huu ambayo walishinda 3-0.

CHANZO: BBC
Unknown

Author: Unknown

SHARE
  • Share
  • Tweet
  • Share
  • Pin
  • Share
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Tupate kupitia Facebook

Popular Posts

  • ORODHA YA MAJINA WAKUU WA MIKOA
  • UBA Bank Tanzania yaingiza sokoni Kadi zake Mpya za Mastercard
     Mkuu wa kitengo cha malipo ya kiditali wa bank ya UBA Tanzania, Mr. Priscussy Kessy akiongea na baadhi ya wafanyakazi na wateja wa ...
  • MASHINDANO YA KUMBUKUMBU YA HABIBU MNDEME MAARUFU KAMA HABIBU CUP YAMALIZIKA WILAYANI MWANGA
      Mgeni rasmi kwa upande wa mchezo wa Netiboli ,Zuhura Mndeme akisalimiana na wachezaji wa timu ya Green Bird Collage. ...

Popular Posts

  • ORODHA YA MAJINA WAKUU WA MIKOA
    ORODHA YA MAJINA WAKUU WA MIKOA
  • UBA Bank Tanzania yaingiza sokoni Kadi zake Mpya za Mastercard
    UBA Bank Tanzania yaingiza sokoni Kadi zake Mpya za Mastercard
     Mkuu wa kitengo cha malipo ya kiditali wa bank ya UBA Tanzania, Mr. Priscussy Kessy akiongea na baadhi ya wafanyakazi na wateja wa ...
  • MASHINDANO YA KUMBUKUMBU YA HABIBU MNDEME MAARUFU KAMA HABIBU CUP YAMALIZIKA WILAYANI MWANGA
    MASHINDANO YA KUMBUKUMBU YA HABIBU MNDEME MAARUFU KAMA HABIBU CUP YAMALIZIKA WILAYANI MWANGA
      Mgeni rasmi kwa upande wa mchezo wa Netiboli ,Zuhura Mndeme akisalimiana na wachezaji wa timu ya Green Bird Collage. ...
  • MKUTANO MKUU WA 22 WA WANAHISA WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA
    MKUTANO MKUU WA 22 WA WANAHISA WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA
      Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, wakifatilia Mkutano huo wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Benk...
  • Mauaji haya jamani,  kwa nini hayakomi?
    Mauaji haya jamani, kwa nini hayakomi?
    Julian Msacky JANUARI mwaka juzi Taifa lilishtushwa na tukio la kuuawa kwa askari watatu wa Kituo cha Polisi Ikwiriri mkoani Pwani....
  • MAGAZETI YA JUMATANO LEO JANUARI 31,2018
    MAGAZETI YA JUMATANO LEO JANUARI 31,2018

Pages

  • Home
  • About Us
  • Contat Us
 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger