TRA

TRA

Tuesday, June 13, 2017

Panama yakata uhusiano na Taiwan na kuipendelea China

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Panama imekata uhusiano wake wa muda mrefu na Taiwan na badala yake imeboresha uhusiano na China.

Serikali ya Panama ilisema inatambua kuwa kuna China moja na hivyo inatambua Taiwan kuwa sehemu ya China.  China inataja Taiwan kama mkoa wake uliojitenga ambao inasema unahitaji kuunganishwa nao.

 Mawaziri wa Panama na Taiwan
Serikali mjini Taipei, mji mkuu wa Taiwan, imesema imekasirishwa na hatua hiyo ya Panama kujenga uhusiano na Beijing, lakini ikasema haitashindana na China katika kile ilichokitaja kuwa mchezo wa pesa katika diplomasia. 

CHANZO: BBC

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger