Balozi
wa Samsung,Latifa Ally akitoa elimu kwa mteja kuhusu stika mbili
zinazohusishwa na kampeni ya Samsung inayotarajiwa kuanza hivi karibuni
stika hizo inayolenga kutokomeza bidhaa feki nchini.
Mabalozi
wa Samsung wakitoa burudani na kutoa elimu kwa wateja juu ya stika
mbili zinazohusishwa na kampeni ya Samsung katika maeneo mbalimbali ya
jiji la Dar es Salaam.
Mabalozi wa Samsung wakiwa katika picha ya pamoja.
SHARE
No comments:
Post a Comment