Spika Mstaafu Anne Makinda akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua Mradi wa
“Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” leo Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa
miaka mitatu unalengo la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi
wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za
Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund
Tanzania, Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya
Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).
Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther
akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua Mradi wa “Wanawake Viongozi - Nguvu ya
Mabadiliko” leo Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la
kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi
ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu
2020. Kulia ni Mkuu wa Sehemu ya Uchumi na Utawala kutoka Umoja wa Ulaya (EU),
Oliveier COUPLEUX na Mwakilishi Mkazi wa HSF Tanzania na Uganda, Bi. Julia Berger.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia hotuba ya Spika Mstaa Anne Makinda (hayupo
pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi - Nguvu ya
Mabadiliko” leo Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la
kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi
ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu
2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania, Kituo cha Utawala
Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF)
chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).
Mratibu wa Mradi wa “Wanawake Viongozi - Nguvu ya Mabadiliko” Bw. Herry
Lugala akifafanua jambo kuhusu mradi huo alipokuwa akiongea na waandishi wa
habari mara baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi rasmi wa mradi huo leo Jijini
Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la kuwajengea uwezo wanawake
200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake
katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020, unashirikisha asasi tatu
ambazo ni Women Fund Tanzania, Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi
(CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja
wa Nchi za Ulaya (EU).
Spika Mstaafu Anne Makinda akiteta jambo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns
Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi
wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” leo Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa
miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika
medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika
uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo
ni Women Fund Tanzania, Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG &
ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi
za Ulaya (EU).
Spika Mstaafu Anne Makinda akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa WA Taasisi ya
Women Fund Tanzania Bi. Rose Julius (kulia) wakati alipokuwa akitendelea maonyesho
yaliyoenda sambamba na uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya
Mabadiliko” leo Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017
umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili
kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na
Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania, Kituo
cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel
Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).
Spika Mstaafu Anne Makinda akiagana na Mwakilishi Mkazi wa HSF Tanzania na
Uganda, Bi. Julia Berger wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake
Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko” leo Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu
kuanzia 2017 umelenga la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi
wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za
Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund
Tanzania, Kituo cha Utawala Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya
Hanns Seidel Foundation (HSF) chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).
Kushoto ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF), Dkt. Susanne
Luther.
Spika Mstaafu Anne Makinda na Mkurugenzi wa Taasisi ya Hanns Seidel
Foundation (HSF), Dkt. Susanne Luther wakati katika picha ya pamoja mara baada ya
kumaliza hafla ya uzinduzi wa Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko”
leo Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu kuanzia 2017 umelenga la
kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi
ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu
2020. unashirikisha asasi tatu ambazo ni Women Fund Tanzania, Kituo cha Utawala
Bora na Maendeleo ya Uchumi (CGG & ED) na Taasisi ya Hanns Seidel Foundation (HSF)
chini ya udhamini wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU).
Picha zote: Frank Shija - MAELEZO
SHARE
No comments:
Post a Comment