• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Wednesday, July 5, 2017

Home > > Besiktas yamnasa kisiki Pepe

Besiktas yamnasa kisiki Pepe

at 5:19 AM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
 
 
Klabu ya Besiktas ya Uturuki imefanikiwa kumsajili bure beki kisiki wa timu ya taifa ya Ureno, Képler Laveran Lima Ferreira, maarufu kama Pepe.

Pepe amesaini mkataba wa miaka wa mitatu kuweza kuwatumikia miamba hao wa ligi ya Uturuki.
 Pepe alitajwa mchezaji bora katika fainali za Euro 2016 

Mchezaji huyu aliachwa na klabu yake ya Real Madrid baada ya kumalizika kwa mkataba wake mwishoni mwa msimu uliopita. 

Uhamisho huu wa mlinzi huyu unahitimisha miaka kumi ya kuitumikia Real Madrid ambapo alikua ni moja kati ya wachezaji muhimu wa kikosi cha kwanza wa timu hiyo.

CHANZO: BBC
Unknown

Author: Unknown

SHARE
  • Share
  • Tweet
  • Share
  • Pin
  • Share
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Tupate kupitia Facebook

Popular Posts

  • Dalili tano za wanawake wanaochepuka |
    ...
  • UVUNAJI WA MAZAO YA MISITU UZINGATIE SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA NCHI
      N A BEATRICE LYIMO- MAELEZO RASILIMALI ya misitu ina umuhimu mkubwa katika suala la uhifadhi wa mazingira na takribani as...
  • MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO, SAID MECKY SADICK NA MAJAJI WAWILI WAJIUZULU. RAIS MAGUFULI ARIDHIA
       

Popular Posts

  • Dalili tano za wanawake wanaochepuka |
    ...
  • UVUNAJI WA MAZAO YA MISITU UZINGATIE SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA NCHI
    UVUNAJI WA MAZAO YA MISITU UZINGATIE SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA NCHI
      N A BEATRICE LYIMO- MAELEZO RASILIMALI ya misitu ina umuhimu mkubwa katika suala la uhifadhi wa mazingira na takribani as...
  • MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO, SAID MECKY SADICK NA MAJAJI WAWILI WAJIUZULU. RAIS MAGUFULI ARIDHIA
    MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO, SAID MECKY SADICK NA MAJAJI WAWILI WAJIUZULU. RAIS MAGUFULI ARIDHIA
       
  • MAMA JANETH MAGUFULI AAGA RASMI WALIMU WENZIE NA WANAFUNZI SHULE YA MSINGI MBUYUNI, DAR ES SALAAM LEO.
    MAMA JANETH MAGUFULI AAGA RASMI WALIMU WENZIE NA WANAFUNZI SHULE YA MSINGI MBUYUNI, DAR ES SALAAM LEO.
     Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiweka saini kitabu cha wageni alipowasili katika shule ya Msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijin...
  • FULL TIME: SERENGETI BOYS 3 vs 0 BURUNDI U-17
    FULL TIME: SERENGETI BOYS 3 vs 0 BURUNDI U-17
    Na Faustine Ruta, Bukoba Timu ya Vijana U17 ya Burudi leo kwenye uwanja wa Kaitaba imeanza mchezo wake wa kwanza wa kirafiki ...
  • MSANII DIAMOND PLATINUMZ AZINDUA LEBO YAKE YA WBC NA KUSAINI NA MKATABA NA MSANII RICH MAVOKO.
    MSANII DIAMOND PLATINUMZ AZINDUA LEBO YAKE YA WBC NA KUSAINI NA MKATABA NA MSANII RICH MAVOKO.
      Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Diamond Platnumz (wa pili kushoto) akiwatangaza wasanii wanaosimamiwa na lebo ya ‘WCB Record L...

Pages

  • Home
  • About Us
  • Contat Us
 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger