• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Wednesday, July 5, 2017

Home > > Mourinho :Sifurahishwi na usajili

Mourinho :Sifurahishwi na usajili

at 5:16 AM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


     
    Meneja wa Manchester United, Jose Mourinho amedaiwa kutofurahishwa na taratibu za usajili zinavyoendelea wa kipindi hiki cha majira ya kiangazi katika klabu yake.

    Baada ya United kutwaa taji la michuano ya Europa ligi,meneja huyo alisema alimpa makamu mwenyekiti wa timu hiyo Ed Woodward orodha na wachezaji anaowahitaji kusajili. 

     Jose Mourinho

    Man United haijafanikiwa kusajili wachezaji ambao kocha huyu anawataka katika kujenga kikosi kipya kwa ajili ya msimu ujao.

    Kuna uwezekano kukawa na maendeleo mengine wiki hii lakini mpaka sasa ni mchezaji mmoja mpya aliyesajili ambaye ni beki Victor Lindelof toka Benfica ya Ureno. 

    Mourinho anahitaji mshambuliaji mmoja atakayeziba pengo la Zlatan Ibrahimovic, pamoja na kiungo mkabaji. 

    Man United wamekuwa wakimuwania mshambuliaji wa Real Madrid, Alvaro Morata ambae uhamisho wake bado haujulikani hatima yake.

    Lakini pia timu hiyo inawahitaji viungo Eric Dier wa Tottenham na Nemanja Matic kuja kujenga safu bora ya kiungo cha chini.

    CHANZO: BBC
    Unknown

    Author: Unknown

    SHARE
    • Share
    • Tweet
    • Share
    • Pin
    • Share
    «
    Next
    Newer Post
    »
    Previous
    Older Post
    Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

    No comments:

    Post a Comment

    Newer Post Older Post Home
    Subscribe to: Post Comments (Atom)

    Tupate kupitia Facebook

    Popular Posts

    • NAPE: Nitahakikisha Timu za Dodoma zinacheza Ligi Kuu.
      Na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye amewahakikishia wapenzi wa M...
    • Watanzania wahimizwa kujiunga na mtandao wa mitaji
      Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustine Kamuzora amewataka wafanyabiashara nchini kuhamasika kujiunga na mtandao wa ...
    • Bodi mpya ya MAMLAKA YA NGORONGORO YATANGAZWA
        PROFESA JUMANNE MAGHEMBE JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII UTEUZI WA WAJUMBE WA B...

    Popular Posts

    • NAPE: Nitahakikisha Timu za Dodoma zinacheza Ligi Kuu.
      NAPE: Nitahakikisha Timu za Dodoma zinacheza Ligi Kuu.
      Na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye amewahakikishia wapenzi wa M...
    • Watanzania wahimizwa kujiunga na mtandao wa mitaji
      Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustine Kamuzora amewataka wafanyabiashara nchini kuhamasika kujiunga na mtandao wa ...
    • Bodi mpya ya MAMLAKA YA NGORONGORO YATANGAZWA
      Bodi mpya ya MAMLAKA YA NGORONGORO YATANGAZWA
        PROFESA JUMANNE MAGHEMBE JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII UTEUZI WA WAJUMBE WA B...
    • Rais aingia katika wakati mgumu, vurugu zatawala Venezuela
      Watu wawili wameuawa katika mgomo na maandamano yanayofanyika nchini Venezuela ya kupinga mpango wa Rais Nicolas Maduro wa kuiandika ...
    • MENGI USIYOYAJUA KUHUSU MNYAMA TWIGA.
      MENGI USIYOYAJUA KUHUSU MNYAMA TWIGA.
      Alichoandika Moses Ngw'at kuhusu mnyama Twiga TWIGA ni miongoni mwa wanyama wenye mvuto mkubwa kutokana na uzuri na mambo kadhaa ...
    • ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA GIHANDU AJIUZULU
      ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA GIHANDU AJIUZULU
        Na Jumbe Ismailly -HANANG .  ALIYEKUWA diwani wa kata ya Gihandu,wilayani Hanang,Mkoani Manyara kwa tiketi ya Chama c...

    Pages

    • Home
    • About Us
    • Contat Us
     
    Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
    Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger