• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Tuesday, July 25, 2017

Home > > Daktari wa kuongeza maumbile auawa, Brazil

Daktari wa kuongeza maumbile auawa, Brazil

at 4:14 AM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

 
Mwanamke mmoja nchini Brazil ambaye alikuwa akijihusisha na uwekaji wa vifaa vya kukuza maumbile ya kike kinyume cha sheria amekufa katika shambulio lenye viashiria vya ulipizaji kisasi baada ya upasuaji ambao haukuzaa matunda.

Marcilene Gama amekuwa katika lindi la mzigo wa lawama kutoka kwa wateja wake kutumia mchanganyiko wa madini ya silika kukuza makalio ya wateja wake wa jinsi ya kike.

Wakati akikaribia kifo chake, alikabiliwa na mkono wa sheria mahakamani kwa kosa la kujifanya daktari. 

Polisi mjini Rio de Jeneiro wanamsaka mwanamume aliyeonekana kwenye mkanda wa video wakati akiingia nyumbani kwa mwanamke huyo usiku wa jumamosi, kabla ya mwili wa mwanamke huyo kuonekana mtaa wa jirani.

Wachunguzi wanaoufanyia utafiti mwili huo wanaeleza kuwa mwili wa bi Gama, ulishuhudiwa huku mikono ya mwanamke huyo ikiwa imefungwa kwa nyuma, na kwamba uso wake ulionesha kuwa ulishambuliwa.

Ndugu wa bi Gama wameshangazwa na taarifa za kuwa ndugu yao alijiita daktari kwani wao wanadai kutokuwa na taarifa hizo, na mara zote wakati wa uhai wake alikuwa akiwaonya wateja wake juu ya matokeo ya upasuaji wa kuongezewa silika.
Unknown

Author: Unknown

SHARE
  • Share
  • Tweet
  • Share
  • Pin
  • Share
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Tupate kupitia Facebook

Popular Posts

  • Polisi, Jaji Mkuu watoa ONYO mgomo wa mawaikili nchini
    Kaimu  Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma na Jeshi la Polisi nchini, wamelionya Baraza la Uongozi la Chama cha Mawakili wa...
  • Chuo cha Ukamanda na Unadhimu cha India chaipongeza TMAA
    Kaimu Mkurugenzi wa Ukaguzi na Udhibiti wa Uzalishaji na Biashara ya Madini, Mhandisi Godfrey Kasekenya Kutoka Wakala wa Ukaguzi w...
  • Marekani kuipa Ukraine silaha za kupambana na waasi
    Mjumbe mpya wa Marekani nchini Ukraine anasema kuwa Marekani inatathmini ikiwa itatuma silaha kusaidia wale wanaopigana na waasi wanoung...

Popular Posts

  • Polisi, Jaji Mkuu watoa ONYO mgomo wa mawaikili nchini
    Polisi, Jaji Mkuu watoa ONYO mgomo wa mawaikili nchini
    Kaimu  Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma na Jeshi la Polisi nchini, wamelionya Baraza la Uongozi la Chama cha Mawakili wa...
  • Chuo cha Ukamanda na Unadhimu cha India chaipongeza TMAA
    Chuo cha Ukamanda na Unadhimu cha India chaipongeza TMAA
    Kaimu Mkurugenzi wa Ukaguzi na Udhibiti wa Uzalishaji na Biashara ya Madini, Mhandisi Godfrey Kasekenya Kutoka Wakala wa Ukaguzi w...
  • Marekani kuipa Ukraine silaha za kupambana na waasi
    Marekani kuipa Ukraine silaha za kupambana na waasi
    Mjumbe mpya wa Marekani nchini Ukraine anasema kuwa Marekani inatathmini ikiwa itatuma silaha kusaidia wale wanaopigana na waasi wanoung...
  • Magazeti ya leo
  • WATU 7 MAARUFU WALIOZUNGUMZA KUHUSU DIAMOND NA ALI KIBA
    Kipindi hiki cha utawala wa awamu ya tano chini ya uongozi wa Rais Dkt. John Magufuli, unapotaka kuzungumzia muziki wa Bongo Flava ni vi...
  • Ufaransa yapambana na moto wa msituni
    Ufaransa yapambana na moto wa msituni
      Ndege ya kuzima moto ikijaribu kuzima moto eneo la Carros  Hali isiyotarajiwa ...

Pages

  • Home
  • About Us
  • Contat Us
 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger