Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ alianza
kuijenga hoteli yake toka mwaka 2016 na sasa imekamilika na very soon
kama uko Mbeya ama ukienda utakua miongoni mwa Wateja wapyawapya kabisa.
Huu ni mchoro wa computer ambao ulionyesha muonekano wa hoteli yenyewe ujenzi ukikamilika
Father
Mallya (Mwenye suti ya blue kwa mbele), Padri kutoka Parokia ya Ruanda
Mbeya akinyunyiza Maji ya baraka kuzunguka maeneo ya Hotel Desderia
wakati wa Ibada fupi ya binafsi
Chanzo: Millardayo
No comments:
Post a Comment