• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Saturday, July 22, 2017

Home > > Pamekucha Kombe la Mataifa Bingwa Afrika

Pamekucha Kombe la Mataifa Bingwa Afrika

at 2:16 AM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

  •  
Kombe la mataifa bingwa Afrika 2019 litafanyika mwezi Juni na Julai shirikisho la soka barani Afrika limethibitisha.

Mchuano huo huwa unafanyika mnamo mwezi Januari na Februari na kusababisha migogoro na vilabu vya Ulaya ambavyo hulazimika kuwatoa wachezaji katikati ya msimu.



Kombe la mataifa bingwa Afrika 2019 litafanyika mwezi Juni na Julai shirikisho la soka barani Afrika limethibitisha

Kinyang'anyiro hicho cha 2019 kitakachoandaliwa Cameroon kitashirikisha timu 24 badala ya 16.

Mabadiliko hayo yalitiwa sahihi na kamati kuu ya CAF katika mkutano uliofanyika mji mkuu wa Rabat. Michuano hiyo imekuwa ikishirikisha timu 16 tangu 1996.

Upanuzi wa mechi hizo unaweza kusababisha matatizo kwa Cameroon ambayo itaanda fainali ijayo, huku waziri wa michezo wa taifa hilo la Afrika ya kati akilazimika kukataa ripoti kwamba maandalizi yalikuwa nyuma.

Mashindano hayo yataendelea kila baada ya miaka miwili barani Afrika. CAF ilikuwa inapanga iwapo itaruhusu mataifa kutoka mabara mengine kushiriki ama hata kuandaa mchuano huo.

Tangazo hilo linajiri kufuatia mkutano wa siku mbili ulioandaliwa na rais wa Caf Ahmad kuzungumzia hali ya soka barani Afrika.
Unknown

Author: Unknown

SHARE
  • Share
  • Tweet
  • Share
  • Pin
  • Share
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Tupate kupitia Facebook

Popular Posts

  • Magazeti ya leo Jumatano
    '
  • Watanzania wahimizwa kujiunga na mtandao wa mitaji
    Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustine Kamuzora amewataka wafanyabiashara nchini kuhamasika kujiunga na mtandao wa ...
  • NAPE: Nitahakikisha Timu za Dodoma zinacheza Ligi Kuu.
    Na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye amewahakikishia wapenzi wa M...

Popular Posts

  • Magazeti ya leo Jumatano
    '
  • Watanzania wahimizwa kujiunga na mtandao wa mitaji
    Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustine Kamuzora amewataka wafanyabiashara nchini kuhamasika kujiunga na mtandao wa ...
  • NAPE: Nitahakikisha Timu za Dodoma zinacheza Ligi Kuu.
    NAPE: Nitahakikisha Timu za Dodoma zinacheza Ligi Kuu.
    Na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye amewahakikishia wapenzi wa M...
  • ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA GIHANDU AJIUZULU
    ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA GIHANDU AJIUZULU
      Na Jumbe Ismailly -HANANG .  ALIYEKUWA diwani wa kata ya Gihandu,wilayani Hanang,Mkoani Manyara kwa tiketi ya Chama c...
  • Shirika la TTCL lazinduwa ‘Fiber Connect Bundle’
    Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Corporation, Bw. Waz...
  • Rais aingia katika wakati mgumu, vurugu zatawala Venezuela
    Watu wawili wameuawa katika mgomo na maandamano yanayofanyika nchini Venezuela ya kupinga mpango wa Rais Nicolas Maduro wa kuiandika ...

Pages

  • Home
  • About Us
  • Contat Us
 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger