Mkurugenzi Mtendaji wa BANK OF 
AFRICA Tanzania Bw. Ammish Owusu Amoah akisalimiana na Bw. Muganyizi 
Bisheko Meneja Masoko/ Utafiti Maendeleo wa BANK OF AFRICA leo wakati 
alipotembelea banda la  maonyesho la benki hiyo lililopo namba 85 katika
 ukumbi wa Sabasaba Hall viwanja vya J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa 
jijini Dar es Salaam katika maonyesho ya baisha ya (TANTRADE) 
yanayoendelea.  
Mkurugenzi Mtendaji wa BANK OF 
AFRICA Tanzania Bw. Ammish Owusu Amoah akiwa ameketi na Bw. Muganyizi 
Bisheko Meneja Masoko/ Utafiti Maendeleo wa BANK OF AFRICA leo wakati 
alipotembelea banda la  maonyesho la benki hiyo lililopo namba 85 katika
 ukumbi wa Sabasaba Hall viwanja vya J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa 
jijini Dar es salaam, kulia ni Bi.Beth Mwalusako Afisa Mahusiano wa 
benki hiyo
Mkurugenzi Mtendaji wa BANK OF 
AFRICA Tanzania Bw. Ammish OwusuAmoah akisikiliza maelezo ya  
Muganyizi Bisheko Meneja Masoko/ Utafiti Maendeleo wa BANK OF AFRICA 
 wakati alipotembelea katika banda hilo.
Bi.Beth Mwalusako Afisa Mahusiano wa benki hiyo akizungumza na mmoja wa wateja wa benki hiyo aliyetembelea katika banda hilo.
Mkurugenzi Mtendaji wa BANK OF 
AFRICA Tanzania Bw. Ammish Owusu Amoah akisalimiana na Yusuph Mdoe 
Mratibu wa Mauzo katika benki hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa BANK OF 
AFRICA Tanzania Bw. Ammish Owusu Amoah na  Bw. Muganyizi Bisheko Meneja 
Masoko/ Utafiti Maendeleo wa BANK OF AFRICA Tanzania wakiwa katika picha
 ya pamoja na wafanyakazi wa benki hiyo kutoka kulia ni Afisa Mahusiano 
wa BANK OF AFRICA tawi la Tandika Bi. Beatrice Richard na Bw.Yusuph Mdoe
 Mratibu wa Mauzo  na kutoka kushoto ni Afisa Uhusiano Emmy Addie na 
Bi.Beth Mwalusako Afisa Mahusiano wa benki hiyo.
Katoka kulia ni maafisa Mahusiano wa BANK OF AFRICA  Bi. Beatrice Richard, Bi.Beth Mwalusako na Emmy Addie 
  SHARE 
  
 
 








 
No comments:
Post a Comment