Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa 
ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa (kulia) akimkabidhi zawadi aliyekuwa 
Mtaalamu Mkuu Utawala kutoka Benki ya Dunia, Dkt. Verena Knippel wakati 
wa hafla fupi ya kumuaga mara baada ya kumaliza muda wake wa kufanya 
kazi hapa nchini. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam katika 
ukumbi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa 
ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa (kulia) akizungumza jijini Dar esa 
Salaam wakati wa hafla ya kumuaga aliyekuwa Mtaalamu Mkuu Utawala kutoka
 Benki ya Dunia, Dkt. Verena Knippel katika ukumbi wa Ofisi ya Taifa ya 
Takwimu (NBS).
Aliyekuwa Mtaalamu Mkuu Utawala 
kutoka Benki ya Dunia, Dkt. Verena Knippel (kushoto) akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kumuaga baada ya kumaliza muda 
wake wa kufanya kazi hapa nchini. 
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa 
ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa (kulia) akimpongeza aliyekuwa Mtaalamu 
Mkuu Utawala kutoka Benki ya Dunia, Dkt. Verena Knippel (kushoto) wakati
 wa hafla ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi hapa 
nchini.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa 
ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa (wa sita kushoto) akiwa katika picha ya 
pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa NBS pamoja na aliyekuwa Mtaalamu Mkuu
 Utawala kutoka Benki ya Dunia, Dkt. Verena Knippel (wa tano kushoto) 
wakati wa hafla ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi 
hapa nchini.
  SHARE 
  
 
 








 
No comments:
Post a Comment