• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Monday, July 17, 2017

Home > > Nyani azima umeme kwa karibu saa 6 nchini Zambia

Nyani azima umeme kwa karibu saa 6 nchini Zambia

at 3:14 AM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

    Nyani alivuruga mitambo ya umeme katika mji wa Livingstone nchini Zambia na kukata umeme kwa karibu watu 50,000.

    Nyani huyo alifanikiwa kuingia katika kituo cha umeme siku ya Jumapili, na kuvuruga mitambo yenye umeme inayosambaza umeme kuenda maeneo ya Kusini na magharibi mwa Zambia kwa mujibu wa kampuni ya umeme nchini humo Zesco.


        Nyani

    Nyani azima umeme kwa karibu saa 6 nchini Zamabia Nyani azima umeme kwa karibu saa 6 nchini Zamabia


    Ukosefu wa umeme waikumba Kenya
    Alisema kuwa wakaazi 28,000 wa Livingstone na watu wengine 22,000 wa eneo hilo walibaki kabisa bila umeme kwa zaidi ya saa sita wakati ukarabati ulikuw ukiendelea.

    "Nyani huyo alipigwa na umeme lakini kutokana na maumbile yake ya kimazingira alipata tu majeraha mabaya ya moto. Kama angekuwa binadamu angekufa." alisema Kapata.

    Kapata alisema kuwa kampuni hiyo imeomba msamaha wateja wake kwa hasara waliyoipata.

    Mji wa Livingstone ni maarugu kwa wanyama pori kama nyani na ndovu wanaotoka mbuga iliyo karibu.
    Unknown

    Author: Unknown

    SHARE
    • Share
    • Tweet
    • Share
    • Pin
    • Share
    «
    Next
    Newer Post
    »
    Previous
    Older Post
    Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

    No comments:

    Post a Comment

    Newer Post Older Post Home
    Subscribe to: Post Comments (Atom)

    Tupate kupitia Facebook

    Popular Posts

    • Dalili tano za wanawake wanaochepuka |
      ...
    • VODACOM WAZINDUA VODASHOP YAO MPYA JIJINI MBEYA
      Msimamizi mkuu wa kanda ya Nyasa wa Vodacom Tanzania Macfadyne Minja akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya wakati wa uzind...
    • UCHUMI WA CHINA WAZIDI KUKUA
      Uchumi wa China ulikua kwa asilimia 6.9 kati ya mwezi Aprili na Juni kwa mujibu wa takwimu rasmi ambayo ni asillimia ya ju kuliko ilivyot...

    Popular Posts

    • Dalili tano za wanawake wanaochepuka |
      ...
    • VODACOM WAZINDUA VODASHOP YAO MPYA JIJINI MBEYA
      VODACOM WAZINDUA VODASHOP YAO MPYA JIJINI MBEYA
      Msimamizi mkuu wa kanda ya Nyasa wa Vodacom Tanzania Macfadyne Minja akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya wakati wa uzind...
    • UCHUMI WA CHINA WAZIDI KUKUA
      UCHUMI WA CHINA WAZIDI KUKUA
      Uchumi wa China ulikua kwa asilimia 6.9 kati ya mwezi Aprili na Juni kwa mujibu wa takwimu rasmi ambayo ni asillimia ya ju kuliko ilivyot...
    • Bunge lamkingia kifua Rais tuhuma za ufisadi
        Bunge la Brazil limepiga kura kupinga mashtaka ya rushwa dhidi ya rais Michel Temer na hivyo kumuepusha kufikishwa mbele ya mahakam...
    • FULL TIME: SERENGETI BOYS 3 vs 0 BURUNDI U-17
      FULL TIME: SERENGETI BOYS 3 vs 0 BURUNDI U-17
      Na Faustine Ruta, Bukoba Timu ya Vijana U17 ya Burudi leo kwenye uwanja wa Kaitaba imeanza mchezo wake wa kwanza wa kirafiki ...
    •  Tujenga utamaduni  wa kuishi kwa upendo
      Tujenga utamaduni wa kuishi kwa upendo
      Julian Msacky “KAMA ulimwengu ukiwachukia ninyi kumbukeni umenichukia mimi kabla ya yenu”. Haya ni maneno ya Yesu katika moja ya ...

    Pages

    • Home
    • About Us
    • Contat Us
     
    Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
    Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger