TRA

TRA

Saturday, July 22, 2017

RAIS DKT MAGUFULI AMUUNGA MKONO MLEMAVU ARON MICHAEL

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

 Rais Dkt John Pombe Magufuli akizungumza jambo  mlemavu aitwaye Aron Michael Kipalilo ambaye ni mkazi wa kibondo mwenye ujuzi/fundi wa kushona nguo. Amekutana na Rais Magufuli na ameomba amshonee kaunda Suti.Rais Dkt Magufuli yuko mkoani Kigoma kwa ziara ya siku tatu ya kikazi
Rais Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na  mmoja wa walemavu aitwaye Aron Michael Kipalilo ambaye ni mkazi wa Kibondo mwenye ujuzi/fundi wa kushona nguo. Mlemavu huyo amekutana na Rais Dkt Magufuli amshonee kaunda suti.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger