Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
pamoja na mke wake Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka wakati wa ibada
ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato
Mkoani Geita, Julai 16, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na
Mkewe Janeth Magufuli wakisikiliza mahubiri toka kwa Padri Henry
Mulinganisa wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la
Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita, Julai 16 2017.
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akisisitiza jambo wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki
la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita Julai 16, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
aliyeshika kikapu cha sadaka akipokea sadaka kutoka kwa Mke wake, Janeth
Magufuli wakati wa kuchangia ujenzi na upanuzi wa katika kanisa la
Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita, Julai 16,
2017.
Rais
wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
aliyeshika kikapu cha sadaka akipokea sadaka kutoka kwa waumini wakati
wa kuchangia ujenzi na upanuzi wa katika kanisa la Katoliki la Bikira
MariaParokia ya Chato Mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa
ameshika kikapu chenye michango ya fedha zilizotolewa na waumini wa
kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita kwaajili ya
ujenzi na upanuzi wa kanisa hilo, Julai 16, 2017
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akimshukuru mmoja wa waumini wa kanisa hilo ndugu Mwita Chacha mara
baada ya kuchangia mifuko mitano ya saruji kwaaajili ya ujenzi na
upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita .
Mama
Janeth Magufuli mke wa Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli akiahidi mchango wake wa ujenzi na upanuzi wa kanisa
Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akishuhudia mmoja wa waumini wa kanisa hilo ndugu Deogratius Ambrosi
mwenye ulemavu wa mkono,akitoa mchango wake wa kiasi cha shilingi elfu
tano kwaajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira
MariaParokia ya Chato Mkoani Geita
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akimshukuru mmoja wa waumini wa kanisa hilo ndugu Deogratius Ambrosi
mwenye ulemavu wa mkono,akitoa mchango wake wa kiasi cha shilingi elfu
tano kwaajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira
MariaParokia ya Chato Mkoani Geita
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akiwashukuru waumini walioshiki kuchangia ya ujenzi na upanuzi wa kanisa
Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita,ambapo
zilikusanywa kiasi cha zaidi ya shilingi milioni kumi na tatu pamoja na
ahadi mbalimbali za vikiwemo vifaa vya ujenzi.
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa
nje ya kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita,
ambalo linaendelea kupanuliwa na kujengwa hapo akielekea kuwasalimia
waumini walio kuwa nje ya kanisa na kuwaaga baada ya ibada.
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akiondoka kwenye Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani
Geita, mara baada ya ibada.
Katibu
wa Rais Ndugu Ngusa Samike (kushoto) akikabidhi mchango wa Mhe Rais wa
Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli jumla ya
shilingi milioni kumi kwaajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki
la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita,
Waumini wa kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita wakiwa kwenye ibada.
Jengo la kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita linaloendelea kupanuliwa na kujengwa
Waumini wa kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita wakitoka kwenye ibada ya jumapili. (PICHA NA IKULU)
SHARE
No comments:
Post a Comment