Naibu Kamishna Mstaafu wa
Magereza, Edith Malya akiwa kwenye gari maalum pamoja na Wastaafu
wengine wa Jeshi la Magereza wakipita katikati ya Gwaride likiwa katika
umbo la OMEGA ikiwa ni ishara ya kuwaaga rasmi baada ya kustaafu
utumishi wao Jeshini. Hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Chuo cha
Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, Ukonga jijini Dar es salaam Julai 21,
2017.
Naibu Kamishna Mstaafu wa
Magereza, Edith Malya akiwa kwenye gari maalum pamoja na Wastaafu
wengine wa Jeshi la Magereza wakiwapungia mikono Wageni mbalimbali
waliofika katika hafla ya kuwaaga wastaafu hao iliyofnyika katika
Viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, Ukonga jijini Dar
es salaam Julai 21, 2017.
Maafisa Waandamizi wa Jeshi la
Magereza wakiwapungia mikono Wastaafu wa Jeshi la Magereza(hawapo
pichani) katika hafla ya kuwaaga wastaafu hao iliyofnyika katika Viwanja
vya Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, Ukonga jijini Dar es
salaam Julai 21, 2017.
Baadhi ya askari wa Jeshi la Magereza wakifuatilia tukio la kuagwa wastafu hao kama inavyoonekana katika picha.
Naibu Kamishna Mstaafu wa
Magereza, Edith Malya akisalimiana na Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es
Salaam, Naibu Kamishna wa Magereza, Augustine Mboje alipowasili katika
Viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, Ukonga jijini Dar
es salaam.
Naibu Kamishna Mstaafu wa
Magereza, Edith Malya akikagua Gwaride maalum lililoandaliwa na Maofisa
na askari wa Magereza kwa ajili ya kuwaaga wastaafu wa Jeshi hilo.
Gwaride maalum lililoandaliwa na
Maofisa na askari wa Magereza kwa ajili ya kuwaaga wastaafu wa Jeshi la
Magereza likipita mbele ya wastaafu wa Jeshi la Magereza kwa mwendo wa
haraka.
Naibu Kamishna Mstaafu wa Magereza, Edith Malya akiwa jukwaa kuu wakati Gwaride likipita mbele kwa heshima.
Kamishna wa Fedha na Uatwala wa
Jeshi la Magereza Gaston Sanga akisalimiana na Mnadhimu Msaidizi wa
Jeshi la Magereza .Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza Deogratis
Lwanga (wa pili kulia) katika hafla ya kuwaaga wastaafu wa Jeshi hilo.
Kamishna wa Fedha na Uatwala wa
Jeshi la Magereza Gaston Sanga (katikati) akifuatilia matukio ya kuagwa
wastaafu wa Magereza, kulia ni Mnadhimu Msaidizi wa Jeshi la Magereza
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza Deogratis Lwanga na wa kwanza
kushoto ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza Mlasani Kimaro.
SHARE
No comments:
Post a Comment