Muda
mfupi baada ya mwimbaji staa Alikiba kuachia video ya wimbo wake mpya
‘Seduce Me’ leo August 25, 2017, staa mwingine wa Bongofleva kutokea
WCB, Diamond Platnumz amepost picha kwenye Instagram.
Diamond
amepost picha ya mtu akicheka kitu kilichowafanya mashabiki kuunganisha
matukio wakidai huwenda picha hiyo ni ujumbe baada ya kuusikia wimbo wa
Alikiba.
SHARE








No comments:
Post a Comment