Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana
na Viongozi mara alipowasili katika Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya
Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika mwendelezo wa ziara
yake katika Wilaya hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana
na Viongozi mara alipowasili katika Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya
Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika mwendelezo wa ziara
yake katika Wilaya hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipofika kutembelea Shamba la
Mikarafuu na kuendelea na zoezi la uchumaji wa Karafuu katika Kijiji cha
Kiziwani Shungi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika
mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya hiyo leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimsalimia
Mtoto Samira Mussa miezi Miwili aliyechukuliwa na dada yake Lussia Mussa
Miaka Kumi na tano wanaoishi katika Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya
ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,aliwasalimia baada ya kutembelea
Shamba la Mikarafuu leo,akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika
Wilaya hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa
akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazalishaji Karafuu ZACPO
Bw.Kassim Khamis Rashid wakatialipokuwa akiondoka baada ya kulifungua
tawi la CCM Tibirinzi Wilaya ya Chake chake leo akiwa katika ziara
katika Wilaya ya hiyo katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya
hiyo,(kulia) Waziri asiekuwa na Wizara Maalum Mhe.Said Sudi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein akifungua pazia kulifungua Tawi la CCM Tibirinzi leo akiwa katika
mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini
Pemba kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein akikata utepe kufungua Tawi la CCM Tibirinzi leo akiwa katika
mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini
Pemba kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo,(kushoto)
Mwakilishi wa Jimbo la Chakechake CCM Mhe. Suleiman Sarakhani Said
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein alipokuwa akikagua Tawi la CCM Tibirinzi leo baada ya kulifungua
akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya Chakechake Mkoa
wa Kusini Pemba kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya
Maendeleo,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma
Abdalla
Baadhi ya Wanachma wa Chama cha
Mapinduzi CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipokuwa akizungumza na Wanachama hao Tawi la CCM Tibirinzi
leo baada ya kulifungua rasmi akiwa katika mwendelezo wa ziara yake
katika Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kwa kutembelea na
kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa
akizungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM Tawi la CCM
Tibirinzi leo baada ya kulifungua rasmi akiwa katika mwendelezo wa ziara
yake katika Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kwa kutembelea na
kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo,
Picha na Ikulu.25/08/2017
SHARE








No comments:
Post a Comment