• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Friday, August 25, 2017

Home > > Balozi wa Urusi nchini Sudan afariki akiogelea

Balozi wa Urusi nchini Sudan afariki akiogelea

at 12:26 AM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Balozi wa Urusi nchini Sudan amepatikana amefariki katika kidimbwi cha kuogelea nyumbani kwake huko Khartoum.

Maafisa wa polisi wa Sudan wanasema kuwa uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa bwana Mirgayas Shirinsky alifariki kutokana na sababu za kimaumbile.

Ijapokuwa kifo chake hakijawekewa shauku yoyote, bwana Shirinsky ni mwanadiplomasia wanne kutoka Urusi kufariki katika afisi katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.

Mnamo mwezi Februari, balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa Vitaly Churkin alifariki kwa ghafla katika afisi yake mjini New York.

Mwezi mmoja kabla, balozi wa Urusi nchini Uturuki Andrei Karlov alipigwa risasi mjini Ankara na afisa wa polisi wa Uturuki aliyekuwa akipinga hatua ya Urusi kuingia nchini Syria.

CHANZO: BBC
Unknown

Author: Unknown

SHARE
  • Share
  • Tweet
  • Share
  • Pin
  • Share
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Tupate kupitia Facebook

Popular Posts

  • Vyuo vikuu bora zaidi duniani mwaka 2017
    ...
  • RIPOTI: HOTELI ZA NYOTA MBILI NA TATU HUPENDELEWA ZAIDI NA WATEJA
    Na Jumia Travel Tanzania Je ushawahi kupanga kwamba unataka kwenda kulala kwenye hoteli ya nyota ngapi? Ni vigezo gani ambavyo huwa unavit...
  • Yai kwa siku inaonekana kusaidia watoto wadogo kuongeza kimo
    Kula yai kwa siku kunaweza kuwasaidia watoto wadogo wenye utapiamlo kuongeza urefu kulingana na utafiti wa miezi sita huko Ecuador. ...

Popular Posts

  • Vyuo vikuu bora zaidi duniani mwaka 2017
    Vyuo vikuu bora zaidi duniani mwaka 2017
    ...
  • RIPOTI: HOTELI ZA NYOTA MBILI NA TATU HUPENDELEWA ZAIDI NA WATEJA
    RIPOTI: HOTELI ZA NYOTA MBILI NA TATU HUPENDELEWA ZAIDI NA WATEJA
    Na Jumia Travel Tanzania Je ushawahi kupanga kwamba unataka kwenda kulala kwenye hoteli ya nyota ngapi? Ni vigezo gani ambavyo huwa unavit...
  • Yai kwa siku inaonekana kusaidia watoto wadogo kuongeza kimo
    Yai kwa siku inaonekana kusaidia watoto wadogo kuongeza kimo
    Kula yai kwa siku kunaweza kuwasaidia watoto wadogo wenye utapiamlo kuongeza urefu kulingana na utafiti wa miezi sita huko Ecuador. ...
  • WAKANDARASI NCHINI WAKABILIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI
    WAKANDARASI NCHINI WAKABILIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI
      Picha ikimuonyesha Mkandarasi kutoka Kampuni ya Caberisa Co.Ltd Bernad Mgohamwende ambaye anajenga barabara kw...
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDAHILI WA WANAFUNZI WA ASTASHAHADA NA STASHADA KATIKA PROGRAMU MBALIMBALI KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018
    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDAHILI WA WANAFUNZI WA ASTASHAHADA NA STASHADA KATIKA PROGRAMU MBALIMBALI KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018
    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa sheria ya Baraza la Taifa la Elimu y...
  • KWELI WANANCHI WANA SHIDA NYINGI, WAFURIKA OFISI YA RC MAKONDA KUDAI HAKI
    KWELI WANANCHI WANA SHIDA NYINGI, WAFURIKA OFISI YA RC MAKONDA KUDAI HAKI
        ZAIDI ya Wananchi 3,000 kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam, Januari 29, 2018 wamefika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar...

Pages

  • Home
  • About Us
  • Contat Us
 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger