TRA

TRA

Saturday, August 26, 2017

DAAH WIMBO WA DIAMOND GUMZO KILA KONA. AFANDE SELE AIBUKA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
Siku moja baada ya team WCB ikiongozwa na Diamond Platnumz kuachia video ya wimbo wao wa kundi ‘Zilipenda’ kisha kuibua maswali kwa baadhi ya mashabiki kutokana na maudhui ya wimbo huo kwa kuwataja baadhi ya mastaa wa zamani, mmoja wa aliyetajwa ambaye ni Afande Sele kafunguka.

Kupitia Instagram yake, Afande Sele aliandika ujumbe ambao unaashiria kutokasirika wala kuchukizwa na kitendo cha kutajwa kwenye ‘ZILIPENDWA’ na kuonesha kufurahia jambo hilo mbali na wengine huku akiwaambia walioupokea vibaya msiba hauwahusu.
Afande Sele aliandika Sana mdogo wangu nyakati zinabadilika Huu muda wa akina Damian sio nyakati za Burning Spear au Bob Marley , ndio maana nikawa Muhenga, wamuache Dogo afanye kazi zake #safiplatnumdiamond @Regrann from @rhymesselassie – Simba wa Morogoro nae zilipendwa .Simba wa madale/tandale kanichekesha. Safi this is music , #burudani, utani kwa mhenga. Nawashangaa linaowatoka povu wakati msiba hauwahusu.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger