TRA

TRA

Thursday, August 3, 2017

GRUMETI FUND WATOA MSAADA WA VITANDA 15

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
 
Kushoto
ni Frida Mollel Mkuu wa idara ya Maendeleo ya Jamii Singita Grumeti
Fund baada ya kukabidhi Vitanda 15 vyenye thamani ya shilingi Mill 7.3
kwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Nurdin Babu katika Shule ya Sekondari
Serengeti ambayo Mabweni ya Wasichana yalliungua Mwaka jana na
kuteketeza vifaa vya wanafunzi 


Mbali na hayo juhudi za serikali zimefanyika
na kuletwa kiasi cha Shilingi Millioni Sitini na Sita na Laki sita ili
kukarabati Bweni hilo ambapo ukarabati huo unaendelea

Wanafunzi Shule ya Sekondari Serengeti.

hh
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Juma Hamsin akionesha ukarabati
wa Bweni hilo unavyoendelea kwa kasi baada ya kupokea kiasi cha Shilingi
Millioni Sitini na Sita na laki sita kutoka Serikalini ili kufanya
ukarabati
Ukarabati unaendelea vizuri
Wa
kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Serengeti Juma
Hamsin akifuatia Mbunge wa Jimbo la Serengeti Marwa Ryoba na Katikati ni
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Nurdin Babu.






Frida
Mollel Mkuu wa Idara yaMaendeleo ya Jamii Singita Grumeti Fund akiongea
na Wanafunzi pamoja na Viongozi kabla ya kukabidhi msaada huo wa Vitanda
15 vyenye thamani ya Sh. Milioni 7.3
Mkuu
wa Wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu (kulia) akikabidhi vitanda hivyo kwa
Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, Juma Hamsin.


                                

                      Wanafunzi tunashukuru sana Grumeti


Mkurugenzi akitoa Shukrani


Mbunge wa Jimbo la Serengeti akitoa shukrani zake pia


Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Nurdin Babu akisisitiza jambo baada ya kupookea msaada huo na kukemea sula zima la mimba shuleni.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger