TRA

TRA

Thursday, August 3, 2017

KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO ATEMBELEA BANDA LA COSTECH VIWANJA VYA NANENANE NGONGO MKOANI LINDI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

Mtafiti kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH),  Bestina Daniel (kushoto), akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhandisi Mathew Mtigumwe (kulia), kuhusu ushiriki wa COSTECH katika maonyesho hayo, alipotembelea banda la COSTECH , lililopo chini ya Wizara hiyo katika Maonyesho ya Kitaifa ya Wakulima yanayoendelea Viwanja vya Nane Nane vya Ngongo mkoani Lindi jana.
Mtafiti kutoka Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Mikocheni (MARI), Ismail Ngolinda, akitoa maelezo Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhandisi Mathew Mtigumwe (kushoto), alipotembelea banda hilo. Katikati ni  Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi, Hussein Mansour.




Watafiti wakijadiliana jambo kwenye maonesho hayo. Kutoka kulia ni Mratibu wa Jukwaa la Bioteknolojia (OFAB), Filbert Nyinondi, Bestina Daniel, mdau wa kilimo, Flaviana, Dk. Emmarold Mneney, Ismail Ngolinda kutoka Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Ilonga Kilosa mkoani Morogoro na Christina Kidulile
Taswira ya banda hilo katika maonyesho hayo.
 

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger