Moto mkubwa
umeunguza mojawapo ya jumba refu duniani, Torch Tower huko Dubai UAE kwa
mara ya pili katika kipindi cha miaka miwili.
Mamlaka baadaye ilisema kuwa wafanyikazi walifanikiwa kuwaondoa watu na wakafanikiwa kuudhibiti moto huo.
- Kenya kujenga jumba refu zaidi barani Afrika
- Marekani yaadhimisha shambulio la Septemba 11
- Jumba la Nyerere makao makuu ya AU
Hakuna majeraha yoyote yalioripotiwa kufikia sasa katika jumba hilo la Torch Tower ,kulingana na mamlaka ya Dubai iliotuma ujumbe katika Twitter.
Jumba hilo la Torch Tower liliharibiwa na moto mwengine 2015.
CHANZO: BBC
SHARE









No comments:
Post a Comment