Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana (kulia), akiwa katika mazungumzo na Mabalozi wa nchi tano za
Ukombozi Kusini mwa Afrika, wanaoziwakilisha nchini zao hapa nchini,
alipokutana nao katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa
Lumumba jijini Dar es Salaam, jana. Mabalozi hao ni wa nchi za Zimbambwe,
Zambia, Namibia, Msumbiji na Afrika Kusini.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
(katikati), akiwa na Mabalozi wa nchi tano za Ukombozi Kusini mwa
Afrika, wanaoziwakilisha nchini zao hapa nchini, baada ya mazungumzo nao
katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es
Salaam jana. Mabalozi hao ni wa nchi za Zimbambwe, Zambia, Namibia,
Msumbiji na Afrika Kusini.
SHARE










No comments:
Post a Comment