Mbunge
wa Ubungo ,Saed Kubenea akihutubia wakazi wa Kimara kata ya Kilungule
wakati wa mkutano wa hadhara mara baada ya kumaliza kukagua miradi
mbalimbali ya Maendeleo katika eneo hilo na kuwashukuru wapiga kura wake
kupitia mkutano huo,ambapo aliahidi kutoa Milioni 20 za Mfuko wa jimbo
kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati katika kata hiyo.
Wananchi
wa kata ya Kilungule Kimara jijini Dar es Salaam wakimsikiliza Mbunge
wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea katika mkutano wake wa hadhara
Mbunge
wa Jimbo la Ubungo,Saed Kubenea akizungumza na mmoja wa wazee maarufu
wa kata ya Kilungule mara baada ya kumaliza kukagua miradi mbalimbali ya
Maendeleo katika eneo hilo
Mbunge
wa Jimbo la Ubungo,Saed Kubenea akifurahi na wakazi wa kata ya
Kilungule mara baada ya kumaliza kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo
katika eneo hilo
Mbunge
wa Jimbo la Ubungo,Saed Kubenea akifurahi na wakazi wa kata ya
Kilungule mara baada ya kumaliza kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo
katika eneo hilo
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob akifuatilia mkutano wa Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea Kimara Kilungule.
SHARE
No comments:
Post a Comment