Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani, akizungumza na uongozi wa Shirika la Posta katika ziara hiyo. Kulia kwake ni Kaimu Postamasta Mkuu wa shirikahilo, Macrice Mbodo, kushoto ni Kaimu Katibu wa Shirika, Zuhura Pinde na kulia ni Meneja Mkuu Uendeshaji wa shirika, Hassan Mwang’ombe. |
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani
(katikati), akipatiwa maelezo na Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la
Posta Tanzania (TPC), Macrice Mbodo, wakati alipotembelea vitengo
mbalimbali vya shirika hilo, kuongoea na Uongozi pamoja na wafanyakazi,
Dar es Salaam leo. Wa tatu ni Kaimu Katibu wa Shirika, Zuhura
Pinde.(Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani
(katikati), akipatiwa maelezo na Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la
Posta Tanzania (TPC), Macrice Mbodo kuhusu utendaji kazi wa kitengo cha
utumaji na upokeaji wa fedha cha Western Union, katika ziara hiyo.
Kaimu
Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Macrice Mbodo
(kulia), akimpatia maelezo Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani kuhusu idara mbalimbali za Posta
Kuu, wakati alipotembelea sehemu hiyo katika ziara hiyo. Kushoto ni
Meneja wa Posta, Mkoa wa Dar es Salaam, Margret Mlyomi.
Kaimu
Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Macrice Mbodo,
akizungumza wakati akimkaribisha Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani (kushoto kwake), kuzungumza na
Uongozi wa shirika hilo, wakati wa ziara hiyo. Kulia ni Meneja Mkuu
Uendeshaji wa shirika, Hassan Mwang’ombe.
Baadhi
ya viongozi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimsikiliza Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani,
wakati alipokuwa akizungumza nao katika ziara hiyo, leo jijini Dar es
Salaam.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani,
akizungumza na uongozi wa Shirika la Posta katika ziara hiyo. Kulia
kwake ni Kaimu Postamasta Mkuu wa shirikahilo, Macrice Mbodo, kushoto ni
Kaimu Katibu wa Shirika, Zuhura Pinde na kulia ni Meneja Mkuu Uendeshaji wa shirika, Hassan Mwang’ombe.
Baadhi
ya viongozi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimsikiliza Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani,
alipokuwa akizungumza nao leo jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani
(katikati), akizungumza na uongozi wa Shirika la Posta katika ziara
hiyo.
Baadhi
ya waandishi wa habari, wakisikiliza na kuchukua habari, wakati Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani
alipokuwa akizungumza na uongozi wa Shirika la Posta leo jijini Dar es
Salaam.
Baadhi
ya viongozi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimsikiliza Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani,
alipokuwa akizungumza nao leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Macrice Mbodo,
akimshukuru Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi
Edwin Ngonyani (kushoto kwake), mara baada ya kumaliza kuzungumza na
Uongozi wa shirika hilo, katika ziara hiyo.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Shirika la Posta wakiwa kwenye mkutano wao na Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani,
alipofika kwenye taasisi hiyo, kukagua sehemu mbalimbali za shirika,
kuzungumza na Uongozi pamoja na wafanyakazi.
Kaimu
Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Macrice Mbodo,
akizungumza wakati akimkaribisha Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani (kulia), kuzungumza na wafanyakazi
wa shirika hilo, wakati wa ziara hiyo.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani,
akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Posta, wakati alipowataka
kueleza matatizo yao yanayowakabili katika kazi zao kwenye shirika
hilo.
Mmoja
wa wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, Joyce Kagose akimuelezea
Naibu Waziri Mhandisi Ngonyani, matatizo mbalimbali yanayowakabili kama
wafanyakazi pia ya shirika hilo katika kujikwamua kimaendeleo.
Naibu Waziri Mhandisi Ngonyani, akisikiliza kero za wafanyakazi wakati wa mkutano huo.
Mfanyakazi
wa shirika hilo, Ahmed Kaumo akimuelezea Naibu Waziri Mhandisi
Ngonyani, matatizo yanayowakabili pamoja na yanayolikabili shirika kwa
jumla.
Naibu
Waziri Mhandisi Ngonyani, akitaka ufafanuzi wakati mmoja wa wafanyakazi
alipokuwa akielezea matatizo yanayowakabili katika kazi zao za kila
siku kwenye shirika hilo.
Mfanyakazi
Jasson Kalile akimuelezea Naibu Waziri Mhandisi Ngonyani, jinsi shirika
hilo, linavyokabiliwa na matatizo mbalimbali yanayolikwamisha kupiga
hatu za haraka za kimaendeleo.
Zainab
Matollah, mfanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, akimuelezea Naibu
Waziri Mhandisi Ngonyani, matatizo mbalimbali yanayowakabili katika kazi
zao.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani,
akizungumza na wafanyakazi mara baada ya kusikiliza matatizo yao
yanayowakabili katika utendaji wao wa kazi kwenye shirika hilo, la
Posta.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani, akizungumza na wafanyakazi.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani,
akisalimiana na kuagana na wafanyakazi mara baada ya kumaliza kuzungumza
nao, leo jijini Dar es Salaam.
SHARE
No comments:
Post a Comment