Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kulia) akiwasilisha
mada katika mkutano ulioandaliwa na benki hiyo na kushirikisha mabalozi,
wawakilishi wa taasisi za maendeleo kimataifa, wanadiplomasia pamoja na
asasi za kiraia nchini. Wajumbe hao walikutana Makao Makuu ya Ofisi za
Benki ya NMB jana jijini Dar es Salaam lengo likiwa ni kujenga mtandao
na ushirikiano. Katika mada yake kwa washiriki wa mkutano huo, Bi.
Bussemaker alielezea benki ya NMB ilivyo na fursa mbalimbali kwa makundi
tofauti na hasa inavyowasaidia wafanyabiashara kupitia bidhaa yake ya
Trade Finance.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kushoto) akimkaribisha
mmoja wa washiriki katika mkutano ulioandaliwa na benki hiyo na
kushirikisha mabalozi, wawakilishi wa taasisi za maendeleo kimataifa,
wanadiplomasia pamoja na asasi za kiraia nchini.
Sehemu
ya washiriki katika mkutano ulioandaliwa na Benki ya NMB na
kushirikisha mabalozi, wawakilishi wa taasisi za maendeleo kimataifa,
wanadiplomasia pamoja na asasi za kiraia nchini. Wajumbe hao walikutana
Makao Makuu ya Ofisi za Benki ya NMB jana jijini Dar es Salaam lengo
likiwa ni kujenga mtandao na ushirikiano.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kulia) akiwasilisha
mada katika mkutano ulioandaliwa na benki hiyo na kushirikisha mabalozi,
wawakilishi wa taasisi za maendeleo kimataifa, wanadiplomasia pamoja na
asasi za kiraia nchini. Wajumbe hao walikutana Makao Makuu ya Ofisi za
Benki ya NMB jana jijini Dar es Salaam lengo likiwa ni kujenga mtandao
na ushirikiano. Katika mada yake kwa washiriki wa mkutano huo, Bi.
Bussemaker alielezea benki ya NMB ilivyo na fursa mbalimbali kwa makundi
tofauti na hasa inavyowasaidia wafanyabiashara kupitia bidhaa yake ya
Trade Finance.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kulia) akiwasilisha
mada katika mkutano ulioandaliwa na benki hiyo na kushirikisha mabalozi,
wawakilishi wa taasisi za maendeleo kimataifa, wanadiplomasia pamoja na
asasi za kiraia nchini. Wajumbe hao walikutana Makao Makuu ya Ofisi za
Benki ya NMB jana jijini Dar es Salaam lengo likiwa ni kujenga mtandao
na ushirikiano. Katika mada yake kwa washiriki wa mkutano huo, Bi.
Bussemaker alielezea benki ya NMB ilivyo na fursa mbalimbali kwa makundi
tofauti na hasa inavyowasaidia wafanyabiashara kupitia bidhaa yake ya
Trade Finance.
No comments:
Post a Comment