TRA

TRA

Thursday, August 24, 2017

BUNGE LA TANZANIA LAPOKEA MWALIKO WA KUJIUNGA NA UMOJA WA MABUNGE YA AFRIKA (AFRICA PARLIAMENTARY UNION)

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



PIC 01
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Rais wa Umoja wa Mabunge ya Afrika ambaye pia ni Spika wa Bunge la Guine-Bissau Mheshimiwa Cipriano Cassama Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Spika huyo wa Guine-Bissau alitembelea Mhe Ndugai kwa lengo la kumpa mwaliko wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania wa kujiunga na Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union). Kushoto ni Katibu Mkuu wa Umoja huo Mheshimiwa N’ZI Koffi.
PIC 02
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akipokea mwaliko wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania wa kujiunga na Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union) kutoka kwa  Rais wa Umoja huo ambaye pia ni Spika wa Bunge la Guine-Bissau Mheshimiwa Cipriano Cassama Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam anayeshuhudia kushoto  ni Katibu Mkuu wa Umoja huo Mheshimiwa.  N’ZI Koffi.
PIC 3
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimueleza jambo na Rais wa Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Guine-Bissau Mheshimiwa Cipriano Cassama Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam mara baada ya kupokea mwaliko wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania wa kujiunga na Umoja huo.
PIC 04
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na Rais wa Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Guine-Bissau Mheshimiwa Cipriano Cassama (kushoto) na  Katibu Mkuu wa Umoja huo Mheshimiwa.  N’ZI Koffi (kulia).
PIC 5
Rais wa Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Guine-Bissau Mheshimiwa Cipriano Cassama (kushoto) akimkabidhi zawadi  Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (kulia) mara baada ya mazungumzo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.
PIC 6
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya  kupokea mwaliko wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania wa kujiunga na Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union) Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam

Picha na Ofisi ya Bunge

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger