Mh Ridhiwani Kikwete Mbunge wa
jimbo la Chalinze anasema Maendeleo ya Viwanda na uwekezaji yanategemea
sana Mazingira Bora yaliyowekwa na Njia sahihi zisizo na mikwamo.
Nimeyaona haya katika Ziara ya Taasisi ya Kibunge inayopambana na
Magonjwa ya Milipuko na Malaria katika Kiwanda Cha Vyandarua Cha A To
Z-Arusha. Mazingira ya Uwekezaji Tanzania Ya Viwanda ni muhimu zaidi.
Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha Vyandarua cha A to Z cha Arusha.
Ridhiwani Kikwete na wabunge wenzake.
SHARE
No comments:
Post a Comment