Mshambuliaji
wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa mwanasoka bora wa
Uefa Champions League msimu wa 2016-17 na ndiye mwanasoka bora wa Ulaya.
Ronaldo amewashinda Lionel Messi na Gigi Buffon wa Juventus na kufanikiwa kubeba tuzo hiyo.
Hata
hivyo ilionekana tokea mapema, Ronaldo angebeba tuzo hiyo kutokana na
mafanikio aliyopata akiwa na Madrid kwa msimu wa 2016-17.
SHARE








No comments:
Post a Comment