Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na
Mipango, Dotto James akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi
za Ndogo za wizara hiyo jijini Dar es salaam kabla ya kupokea mfano wa
hundi yenye thamani ya sh. Bilioni kumi na tisa na milioni mia tano
19.5 kama gawio lake kutoka benki ya CRDB wakati benki hiyo
ilipokabidhi gawio hilo kwa serikali, Serikali inamiliki asilimia 21 ya
hisa za benki ya CRDB na ndiyo yenye hisa nyingi zaidi kati ya wanahisa
wote, Kulia katika picha ni Dk. Charles Kimei Mkurugenzi Mkuu wa Benki
hiyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na
Mipango Bw. Dotto James akimsikiliza Dk. Charles Kimei Mkurugenzi Mkuu
wa Benki wa benki ya CRDB wakati akizungumza katika hafla hiyo kabla ya
kukabidhi hundi ya gawio la faida kutoka benki hiyo kwa serikali, Kulia
ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB, Ally Hussein Laay.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na
Mipango, Dotto James akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya
shilingi Bilioni kumi na tisa na milioni mia tano 19.500.000.000 Kutoka
kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bw.Ally
Hussein Laay kama gawio serikali kutoka benki ya hiyo na katikati ni
Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania Camilla Christensen
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na
Mipango, Dotto James akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB
Dk. Charles Kimei mara baada ya kupokea hundi hiyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na
Mipango, Dotto James akipiga picha ya pamoja na wakuu wa benki ya
CRDB pamoja na watendaji wakuu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango mara
baada ya kupokea hundi hiyo katikati ni Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania Camilla Christensen.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na
Mipango, Dotto James akipiga picha ya pamoja na wakuu wa benki ya
CRDB pamoja na watendaji wakuu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango mara
baada ya kupokea hundi hiyo katikati ni Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania Camilla Christensen.
SHARE
No comments:
Post a Comment