Baadhi ya vijana wa mkoa wa Dar es Salaam
walioshiriki maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia ambayo ilifanyika katika Shule
ya Sekondari Kibasila Jijini Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya maadhimisho hayo. (PICHA NA MPIGA PICHA WETU)
Baadhi
ya Viongozi kutoka Asasi za Vijana wakiwapungia mkiono baadhi ya vijana wenzao
walioshiriki maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia ambayo ilifanyika katika Shule
ya Sekondari Kibasila Jijini Dar es Salaam jana. Asasi hizo ni TYVA, UNA na
East Africa Youth Club. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni “ushiriki na
ushirikishwaji wa vijana katika kudumisha amani” ambayo imetokana na lengo
namba 16 la maendeleo endelevu ya millennia.
Baadhi
ya vijana wa mkoa wa Dar es Salaam walioshiriki maadhimisho ya Siku ya Vijana
Dunia ambayo ilifanyika katika Shule ya Sekondari Kibasila Jijini Dar es Salaam
wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na viongozi a
kutoka Asasi za Vijana. Asasi hizo ni TYVA, UNA na East Africa Youth Club. Kauli
mbiu ya maadhimisho hayo ni “ushiriki na
ushirikishwaji wa vijana katika kudumisha amani” ambayo imetokana na lengo
namba 16 la maendeleo endelevu ya millennia.
Baadhi ya vijana wa mkoa wa Dar es Salaam
walioshiriki maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia ambayo ilifanyika katika Shule
ya Sekondari Kibasila Jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada mbalimbali
zilizokuwa zikiwasilishwa na viongozi a kutoka Asasi za Vijana. Asasi hizo ni
TYVA, UNA na East Africa Youth Club. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni “ushiriki
na ushirikishwaji wa vijana katika kudumisha amani” ambayo imetokana na lengo
namba 16 la maendeleo endelevu ya millennia.
SHARE
No comments:
Post a Comment