TRA

TRA

Sunday, August 27, 2017

Watanzania watakiwa kutii Viongozi

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Mchungaji
wa kanisa la International Evangelism Church ( IEC) lililopo Kata ya
Susuni Wilayani Tarime Mkoani Mara John Nyaburoko akitoa neno la
mwenyezi Mungu katika ibada iliyofanyika hii leo na kuambatana na
harambee kwa ajili ya ujenzi wa kanisa hilo.
Kiongozi
wa Uingilisti kanisa la (IEC) James Marahu akiotoa neno la Mwenyezi
Mungu katika kanisa hilo ambapo amepiga vita Mila potofu ambazo
zinaendelea kukandamiza mtoto wa kike.
Waumini wa kanisa hilo
Mchungaji Abiud Solomon akiombea baadhi ya mabinti ambao wamempokea Mwenyezi Mungu na kupiga vita ukeketaji.
Mabinti ambao wamepiga vita ukeketaji nakuamua kutumikia Mwenyezi Mungu.
Harambee kwa ajili ya ujenzi wa kanisa inaendelea.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger