TRA

TRA

Thursday, August 24, 2017

WAZIRI MKUU MAJALIWA AITAKA WIZARA YA UTALII KUONGEZA UBUNIFU.

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
 PMO_9750
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kushoto) akikabidhi  Jarida lakutangaza Utalii wa Tanzania kwa kiongozi wamaswala ya Utalii katika Mkoa wa Matanzas .Bwana  Luis Marines Agosti  23/2017 wakati alipokuwa katika Ziara yakikazi kwenye Mji  wa Varadero Mkoa wa Matanzas nchini Cuba katikati katika picha ni Mama Mary Majaliwa
PMO_9820
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (mwenye miwani)na Mama Mary Majaliwa (kulia) .pamoja na Ujumbe wa Serekali ya Tanzania wakipata maelezo Agosti  23/2017kutoka kwa Kiongozi wa Utalii katika Mkoa wa Matanzas ,Bwana Luis Martines. jinsi fukwe za Bahari zinavyo tunzwa nakuwa kivutio kwa Watalii wanao tembelea Mji wa Varadero Mkoa wa Matanzas nchini Cuba
PMO_9890
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (mwenye shati jeupe) na Mama Mary Majaliwa (kushoto) pamoja na ujumbe wa serikali ya Tanzania  Agosti 23/2017 wakipata maelezo kutoka kwa muongoza wa Talii Bibi Yanseli Marrero kuhusu  biashara ya Boti za Utalii  kwenye fukwe za Bahari katika Mji wa Varadero  Mkoa wa Matanzas Nchini Cuba
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger