Mara
nyingi watu wengi tuanpenda kutumia simu mahali ambapo pana giza kwa
muda mrefu, sisi tunapenda kukuita kukuchati. Kuchati huku nyakati za
giza wakati taa imezimwa huwa na madhara yafuatayo.
Kwa sasa,
idadi ya wagonjwa kuanzia miaka 30-40 wanatafuta matibabu makubwa.
kutokana na matumizi ya simu za mkononi (smart phone) gizani.
Profesa
Li Li, kiongozi wa hospitali ya macho huko singapore amesema: anasema
mionzi ya moja kwa moja kwa zaidi ya dk 30 na kuendelea inaweza
kusababisha mpangilio na mbadiliko wa seli macho na hivyo kusababisha
saratani na kushindwa kuona kabisa.
Hii ni
kwasababu wakati wa kutimia simu mahali penye giza huwa tunayalazimisha
macho yetu yaweze kuona ya uwezo wake. Na ndo maaana kuna wakati unaweza
ukatumia simu muda mrefu mahali penye giza mara baada ya kuacha kutumia
simu utaona kama giza limezidi zaidi. Hali hiyo huyafanya macho yako
yaanze kurudi katika hali ya ukawaida.
Pia
utumiaji wa simu kwenye giza husababisha Kupata saratani ya macho. Hivyo
ili uweze kuepuka saratani hivyo ni bora tuache kutumia simu za
mikononi gizani ili tujikinge. Simu za mikononi (smartphone) zenye
mwanga mweupe sana karibu na macho gizani, unabadili mfumo wa seli macho
na kupelekea matatizo ya saratani ya macho.
Proffessor
Li Li amesema dalili za mbadiliko wa seli macho mara nyingi
wanazigundua watu wenye umri mkubwa (wazee), ila kwa hivi sasa
zinagunduliwa hata na kwa vijana wadogo. Hasa kwa wenye umri wa kuanzia
miaka 30-40 wanaongezeka kwa asilimia 3% na wote hawa ni watumiaji wa
simu za mikononi (smartphone) kupitiliza.
Utumiaji wa simu inaweza sababisha na ugonjwa wa macho makavu, mtoto wa jicho na mwisho kupelekea kupoteza kuona.
.
Madaktari
bingwa wa macho 254 kutoka mahosipitalini profesa Li Li atoa hoja
kwamba kikubwa cha muhimu ni kwamba ni kuwa mbali na tabia za kutumia
simu gizani. Sababu tabia hizi za kutumia simu (smartphone) kabla ya
kulala zitakusababishia matatizo ya maisha yako kwa ujumla.
Hivyo ili
kujiangalia sisi wenyewe na familia zetu, kwamba hakuna kuzima taa
endapo unatumia simu ya mkononi. Wape taarifa haraka wote watumiaji wa
simu za mikononi gizani wanaweza kupoteza kwa urahisi sana uwezo wa
kuona.
SHARE








No comments:
Post a Comment