Askofu Gwajima. ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,
Josephat Gwajima amefutiwa kesi ya kushindwa kutunza silaha baada ya
mahakama kushindwa kuthibitisha mashtaka hayo, na kuamuru arudishiwe
mkoba wenye silaha yake. Gwajima na wenzake watatu wamefutiwa mashtaka hayo mbele ya hakimu mbele ya Hakimu Mkazi Kisutu, Cyprian Mkehe.
No comments:
Post a Comment