Taarifa hizo za kusikitisha zimethibitioshwa na Bosi wa Dereva huyo ambaye ni Mbunge John Heche kupitia Katibu wake,Mrimi Zablon ambaye amekiri kuwa dereva huyo anayefahamika kwa jina la Suez Daniel maradufu ni kweli amepata shambulio hilo na sasa yupo hospitali akipatiwa matibabu. Mbunge, John Heche.
TAARIFA KWA UMMA Jana majira ya saa mbili usiku dereva wa mbunge John Heche anayejulikana kwa jina la SUEZ DANIEL MARADUFU alivamiwa na watu wasiojulikana na kushambuliwa kwa kukatwa katwa na mapanga kichwani na hali yake si nzuri, anaendelea na matibabu kwenye Hospitali ya Bomani Tarime. Ofisi ya Mbunge Jimbo la Tarime Vijijini 15/9/2019.
SHARE
No comments:
Post a Comment