Timu ya Azania Bank Ltd,
ikiongozwa na Ndugu Jackson Lohay, Meneja Mwandamizi Kitengo cha wateja
binafsi imeweza kushiriki kwa ufanisi katika mkutano mkuu wa Mwaka wa
Wahandisi nchini Tanzania, uliofanyika mjini Dodoma tar 7-8 mwaka huu.
Waliweza kutoa maelezo mbalimbali kuhusiana na benki ya Azania, pia
mazao mballimbali na huduma zote zitolewazo na benk hiyo. Na pia
kuwakaribisha wahandisi hao kwenye matawi yao yaliyopo sehemu mbalimbali
ndani ya Tanzania.
SHARE
No comments:
Post a Comment